Перейти к содержимому

🔴 LIVE: SIKUKUU YA UIMBAJI - NGAZI YA KKKT DK DAYOSISI & IBADA YA MATENGENEZO YA KANISA 2026

UMOJA DAIMA MEDIA

0:00 / 0:00

🔴 LIVE: SIKUKUU YA UIMBAJI - NGAZI YA KKKT DK DAYOSISI & IBADA YA MATENGENEZO YA KANISA 2026

1 674 просмотра · Трансляция закончилась 2 дня назад
UMOJA DAIMA MEDIA
3,65 тыс. подписчиков
1 674 просмотра · Трансляция закончилась 2 дня назад
Tunawaletea matangazo ya moja kwa moja ya Sikukuu ya Uimbaji Ngazi ya KKKT Dayosisi ya Kaskazini, pamoja na Ibada ya Matengenezo ya Kanisa (Reformation), itakayofanyika tarehe 25 Oktoba 2026. Ungana nasi kushiriki katika huduma ya sifa na kuabudu kupitia nyimbo za kwaya, Neno la Mungu na mafundisho yanayotukumbusha umuhimu wa kulifanya upya Kanisa katika imani na maisha ya Kikristo. Endelea kufuatilia Umoja Daima Media ili usikose matukio haya muhimu ya kiroho. Bonyeza LIKE, SHARE na SUBSCRIBE, kisha washa kengele ya taarifa ili kupata matangazo yetu yajayo. UMOJA DAIMA MEDIA — Sauti ya Kanisa, Habari kwa Wote! #KKKTDayosisiYaKaskazini #SikukuuYaUimbaji #Reformation #IbadaYaMatengenezo #UmojaDaimaMedia #KKKT #LiveStream #UimbajiWaKikristo #Moshi