Перейти к содержимому

ZPC YAWEKA REKODI MPYA YA GAWIO KWA SMZ.

Shirika la Bandari Zanzibar

0:00 / 0:00

ZPC YAWEKA REKODI MPYA YA GAWIO KWA SMZ.

337 просмотров · 2 недели назад
Shirika la Bandari Zanzibar
1,18 тыс. подписчиков
337 просмотров · 2 недели назад
ZPC YAWEKA REKODI MPYA YA GAWIO KWA SMZ. Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) limekabidhi gawio la Shilingi Bilioni 3.6 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa mwaka wa Fedha 2025/2026. Hii ni hatua kubwa ya mafanikio ikilinganishwa na gawio la Shilingi Milioni 850 lililotolewa mwaka uliopita ikiwa ni ongezeko la zaidi ya mara nne. Mafanikio haya yanaonesha matokeo ya maboresho makubwa katika utoaji wa huduma za bandari, usimamizi madhubuti wa rasilimamli na uwekezaji wa kimkakati unaoendelea kufanyika na Shrika. Aidha, yanaakisi dhamira ya ZPC ya kutoa huduma bora zinazokidhi viwango vya kitaifa na kimataifa huku ikiendelea kuwa nguzo muhimu katika kukuza uchumi wa Zanzibar.