Перейти к содержимому

🔴#LIVE: IBADA YA UZINDUZI WA KANISA LA UBUNGO CHRISTIAN CENTRE - TAG UBUNGO 26/09/2026

UBUNGO CHRISTIAN CENTRE

0:00 / 0:00

🔴#LIVE: IBADA YA UZINDUZI WA KANISA LA UBUNGO CHRISTIAN CENTRE - TAG UBUNGO 26/09/2026

4 231 просмотр · Трансляция закончилась 7 дней назад
UBUNGO CHRISTIAN CENTRE
10 тыс. подписчиков
4 231 просмотр · Трансляция закончилась 7 дней назад
Leo ni siku kuu! Karibu kuungana nasi katika Ibada hii ya kumshukuru MUNGU tunapofanya Uzinduzi wa Jengo Jipya la Kanisa letu, Ubungo Christian Centre (UCC). Mahali: UBUNGO PLAZA (Pembeni yake) Mgeni Rasmi: Askofu Mkuu BARNABAS MTOKAMBALI Tunakukaribisha ushiriki nasi, uwe karibu au mbali kwani hii ni siku ya kushuhudia wema wa MUNGU pamoja kama familia moja. Fuatilia mitandao yetu: @UbungoChristianCentre Karibu sana na MUNGU akubariki. #UCC #UbungoChritianCentre #UzinduziWaJengo