AFYA NI NINI HASA? Siri ya Mtaji Wako Mkuu Usiyoijua!
Mtungwe Afya
0:00 / 0:00
AFYA NI NINI HASA? Siri ya Mtaji Wako Mkuu Usiyoijua!
12 просмотров · 2 мес. назад
Mtungwe Afya
90 подписчиков
12 просмотров · 2 мес. назад
As-salamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh.
Je, umewahi kujiuliza kwanini afya yako ndio mtaji wako mkuu katika maisha ya hapa duniani na kesho akhera? Katika video hii, tunajifunza maana halisi ya dhana ya afya kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na mtazamo mpana wa kiroho kupitia mafundisho ya Mtume wetu mpenzi, Muhammad (S.A.W).
Usikubali kupoteza neema hii kabla haujajua thamani yake! Hakikisha unatazama hadi mwisho ili ubadilishe mtazamo wako kuhusu uzima na afya yako leo.
Mawasiliano yetu:
📞 Simu: 0624 82 79 26 / 0787 84 79 26
📱 Instagram & TikTok: @ramadhan.mtungwe
📘 Facebook: AFYA yako MTAJI WAKO
#AfyaYakoMtajiWako #DhanaYaAfya #MtungweAfya #ElimuYaAfya #HadithiZaMtume