Magoli | Geita Gold FC 2-2 Azam FC | NBC Premier League 28/08/2026
Azam TV
0:00 / 0:00
Magoli | Geita Gold FC 2-2 Azam FC | NBC Premier League 28/08/2026
101 471 просмотр · 23 часа назад
Azam TV
3,29 млн подписчиков
101 471 просмотр · 23 часа назад
Ni sare ya maajabu kwenye Dimba la Bukombe, Ushirombo, mkoani Geita, Azam FC wakichomolewa dakika za jiooooooni.
Azam wametangulia kwa penati kupitia kwa Abdul Suleiman Sopu, lakini wakachomoa kupitia kwa Obrey Chirwa...
Kunako dakika za majeruhi, Azam wakafunga kupitia kwa Himid Mao, lakini dakika mbili baadaye wakachomoa kupitia kwa Martin Kigi.
Hii ni Ligi Kuuya NBC.