Перейти к содержимому

ASLAY KWENYE JUKWAA LA LOVE, SHUGHULI YAKE SI MCHEZO

Global TV Online

0:00 / 0:00

ASLAY KWENYE JUKWAA LA LOVE, SHUGHULI YAKE SI MCHEZO

256 003 просмотра · 8 лет назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
256 003 просмотра · 8 лет назад
ASLAY KWENYE JUKWAA LA LOVE, SHUGHULI YAKE SI MCHEZO Ni usiku wa shoo kubwa na kabambe kutoka kwa wasanii wanaofanya vizuri na ngoma yao ya 'Subalkher' Nandy na Aslay, iliyofanyika katika ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Shoo hiyo iliandaliwa maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu 'Valentines Day' ambapo walipata fursa ya kuwaburudisha mashabiki kwa kila mmoja kuimba ngoma zake na baadaye wakaziamsha hisia za wapendanao waliofika ukumbini hapo kwa kuimba kwa pamoja nyimbo yao yenye ujumbe mzito wa mapenzi ya 'Subalkher'. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .