Odinga na muziki: Mapenzi ya dansi na nyimbo za kampeni
Citizen TV Kenya
0:00 / 0:00
Odinga na muziki: Mapenzi ya dansi na nyimbo za kampeni
4 795 просмотров · 2 часа назад
Citizen TV Kenya
6,71 млн подписчиков
4 795 просмотров · 2 часа назад
Jina la hayati raila amollo odinga na muziki kwa sentensi moja sio makosa. Hivi ndivyo marehemu raila odinga alivyopenda muziki, alivyosakata densi na kuwaenzi wanamuziki. Alitumia muziki kuwatumbuiza wafuasi wakati wa kampeni zake nao wanamuziki walikesha studioni kutunga nyimbo za kumuenzi kila msimu wa kampeni. #CitizenTV #citizendigital