Перейти к содержимому

VITU AMBAVYO VINATUPOTEZEA PESA KILA SIKU Na Edmund Munyagi

Edmund Munyagi

0:00 / 0:00

VITU AMBAVYO VINATUPOTEZEA PESA KILA SIKU Na Edmund Munyagi

6 783 просмотра · 5 л. назад
Edmund Munyagi
22,3 тыс. подписчиков
6 783 просмотра · 5 л. назад
Changamoto za kifedha zimekuwa nyingi sana siku hizi na sehemu kumbwa ambayo inaleta changamoto ni matumizi. Bila kujua pesa zako zinaenda wapi, ni vigumu kuanza safari yako ya kuelekea kwenye uhuru wa kifedha. Video hii itakuonyesha baadhi ya vitu ambayo pengine na wewe vinakupotezea pesa bila wewe kujua.