KUKUZA UTALII KARATU: DR. LAMECK KARANGA KUZINDUA TAMASHA LA 'KARATU TOURISM QUEEN
DARUBINI DIGITAL
0:00 / 0:00
KUKUZA UTALII KARATU: DR. LAMECK KARANGA KUZINDUA TAMASHA LA 'KARATU TOURISM QUEEN
145 просмотров · 2 нед. назад
DARUBINI DIGITAL
97 подписчиков
145 просмотров · 2 нед. назад
KUKUZA UTALII KARATU: DR. LAMECK KARANGA KUZINDUA TAMASHA LA 'KARATU TOURISM QUEEN'
Wilaya ya Karatu, kitovu cha utalii Kaskazini mwa Tanzania, inatarajiwa kulipuka kwa furaha na hamasa isiyo ya kawaida! Mwakilishi wa Rais katika Wilaya hiyo, Dr. Lameck karanga, ameandaa tamasha kubwa la kipekee linalojulikana kama Karatu Tourism Queen, linalolenga kuinua sekta ya utalii pamoja na kuhamasisha nidhamu na ukarimu wa hali ya juu kwa wageni na wananchi.
Tamasha hili linatarajiwa kuanza rasmi tarehe 29 hadi tarehe 25, ambapo Karatu yote itakuwa kwenye muonekano mpya na wa kuvutia. Mbali na kushindanisha warembo na mabalozi wa utalii, tamasha hili litawasilisha ujumbe mzito wa kuimarisha nidhamu, usalama, na uzoefu bora kwa watalii wanaotembelea wilaya hiyo. Karatu patakuwa hapashikiki—hakikisha hupitwi na mnyororo huu wa matukio!