Перейти к содержимому

KARIBU SHULE YA SEKONDARI TUMAINI, KWA MAENDELEO YA MWANAO

Tumaini Model Asep School

0:00 / 0:00

KARIBU SHULE YA SEKONDARI TUMAINI, KWA MAENDELEO YA MWANAO

105 просмотров · 13 дн. назад
Tumaini Model Asep School
15 подписчиков
105 просмотров · 13 дн. назад
Katika Mahafali ya shule ya Tumaini model asep yaliyofanyika mnano tarehe 02/10/2026 Ijumaa. Mgeni rasmi ambaye ni Afisa elimu manispaa ya Tabora, Mkurugenzi wa shule na wageni wengine walipata kuzungumza maneno machache mbele ya wahitimu na wazazi. Shule ya Tumaini ni shule bora kwa watoto wa kike hasa wale waliokumbana na changamoto katika safari yao ya elimu. Hivyo shule inakukaribisha wewe mwanafunzi, mtoto wa kike, mzazi au mlezi mlete mwanao atimize ndoto zake katika mazingira bora. @johnisavika6015