Перейти к содержимому

#Watoto#57,336 wa Halmashauri ya Mji Bagamoyo kupatiwa chanjo ya polio.

Bagamoyodc

0:00 / 0:00

#Watoto#57,336 wa Halmashauri ya Mji Bagamoyo kupatiwa chanjo ya polio.

76 просмотров · 1 мес. назад
Bagamoyodc
29 подписчиков
76 просмотров · 1 мес. назад
Halmashauri ya Mji Bagamoyo imepanga kutoa chanjo ya polio kwa watoto wenye umri chini ya Miaka 10 katika Maeneo yote ya Kata zote za Halmashauri hiyo kwa watoa huduma kupita Nyumba kwa nyumba ili kukamilisha zoezi hilo. Ambapo Katika Halmashauri ya Mji Bagamoyo wanatarajia kuwapatia chanjo hiyo watoto 57336 ambapo pia watoa huduma watazunguka katika shule zote za Msingi pamoja na shule za awali zilizoko katika Halmashauri ya Bagamoyo pamoja na hayo chanjo hiyo itapatikana katika vituo vyote vya kutolea huduma pamoja na maeneo yote ya mikusanyiko.