Перейти к содержимому

HIZI NI HATUA ZA UPIMAJI WA UBORA WA KOROSHO GH​​ALANI

Warehouse Receipts Regulatory Board (WRRB)

0:00 / 0:00

HIZI NI HATUA ZA UPIMAJI WA UBORA WA KOROSHO GH​​ALANI

81 просмотр · 11 дн. назад
Warehouse Receipts Regulatory Board (WRRB)
290 подписчиков
81 просмотр · 11 дн. назад
Korosho zinapokelewaje ghalani, na ubora wake hupimwaje kabla ya kuhifadhiwa? Katika video hii, fahamu hatua muhimu za upimaji wa ubora wa korosho, ikiwemo upimaji wa kiwango cha unyevu kinachotakiwa kisichozidi asilimia 10, ili kuhakikisha korosho zinazopokelewa zinakidhi viwango vinavyotakiwa. Kupitia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS), Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) inaendelea kusimamia uzingatiaji wa viwango vya ubora, kulinda maslahi ya wakulima na kuimarisha biashara ya korosho nchini. ▶️ Tazama video hadi mwisho ujifunze hatua za upimaji wa ubora wa korosho ghalani