Ukurasa mpya biashara ya makaa ya mawe wafunguliwa Bandari ya Mtwara
Azam TV
0:00 / 0:00
Ukurasa mpya biashara ya makaa ya mawe wafunguliwa Bandari ya Mtwara
1 754 просмотра · 3 года назад
Azam TV
3,3 млн подписчиков
1 754 просмотра · 3 года назад
Kampuni ya uchimbaji, usafirishaji na uuzaji wa makaa ya mawe, Ruvuma Coal LTD kwa mara ya kwanza imefanikisha kuingiza meli kubwa yenye urefu wa futi 119 ikitokea Madagasca, inayopakia tani 60,180 ya makaa ya mawe na kusafirishwa kutoka Bandari ya Mtwara kuelekea nchini Pakistani.
#AzamTVUpdates