KUWA SUMAKU YA FEDHA 🧲 KWA NJIA HALALI INAWEZEKANAJE?~ Tony Osborn Kapola
Hub of Wisdom Inc.
0:00 / 0:00
KUWA SUMAKU YA FEDHA 🧲 KWA NJIA HALALI INAWEZEKANAJE?~ Tony Osborn Kapola
1 472 просмотра · 2 месяца назад
Hub of Wisdom Inc.
139 тыс. подписчиков
1 472 просмотра · 2 месяца назад
Kwa nini watu wawili wafanye biashara inayofanana, lakini mmoja aendelee kupata mafanikio makubwa kuliko mwingine? Siri iko wapi?
Katika somo hili, Tony Osborn Kapola anashiriki kanuni muhimu zinazoweza kubadili mtazamo wako kuhusu fedha, mafanikio na ustawi wa maisha. Anafafanua kwa nini anasema hasumbuliwi na madeni, hafirisiki, na anaishi kwa utulivu wa kifedha—yote ndani ya misingi ya uadilifu na imani.
🎥 Tazama kipindi hiki ujifunze mbinu za kujenga maisha yenye ustawi wa kifedha kwa njia halali na yenye maadili.
🔥 Usisahau kusubscribe kwenye H.W TV ili usikose vipindi vingine vyenye elimu, hekima na hamasa.
📲 Tungependa kusikia maoni yako! Shiriki nasi kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii: @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media.
#TonyKapola #HubOfWisdom #Wisdom #TheWiseTZ #TabiaZaMafanikio #Maendeleo #FinancialWisdom #Motivation #SuccessTips