Перейти к содержимому

REV. DR. ELIONA KIMARO: TUMRUDIE MUNGU KWA MIOYO YETU YOTE

Rev. Dr. Eliona Kimaro

0:00 / 0:00

REV. DR. ELIONA KIMARO: TUMRUDIE MUNGU KWA MIOYO YETU YOTE

13 288 просмотров · 2 года назад
Rev. Dr. Eliona Kimaro
215 тыс. подписчиков
13 288 просмотров · 2 года назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU 14. 02. 2024. UJUMBE WA LEO: "TUMRUDIE MUNGU KWA MIOYO YETU YOTE Yoeli 2 : 12 - 14 12 Lakini hata sasa, asema Bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea; 13 rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu, mkamrudie Bwana, Mungu wenu; kwa maana yeye ndiye mwenye neema, amejaa huruma; si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, naye hughairi mabaya. 14 N'nani ajuaye kwamba hatarudi na kugeuka, na kutuachia baraka nyuma yake, naam, sadaka ya unga, na sadaka ya kinywaji, kwa Bwana, Mungu wenu? Mhubiri: Rev. Dr, Eliona Kimaro Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053