INASIKITISHA: Bibi Harusi Afia Hotelini Siku Chache Kabla ya Ndoa
Global TV Online
0:00 / 0:00
INASIKITISHA: Bibi Harusi Afia Hotelini Siku Chache Kabla ya Ndoa
279 841 просмотр · 8 л. назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
279 841 просмотр · 8 л. назад
INASIKITISHA: Bibi Harusi Afia Hotelini Siku Chache Kabla ya Ndoa
Asha Kilimba (26) ambaye ni bibi harusi mtarajiwa, mkazi wa Kinondoni Shamba jijini Dar amefariki dunia hotelini katika tukio lililojaa utata mkubwa.
Kwa mujibu wa dada wa marehemu, Habiba Kilimba, mdogo wake huyo alitakiwa kufunga ndoa Ijumaa ya Agosti 3, 2018 na mchumba wake aitwaye Othman Rashid lakini muda mfupi kabla ya ndoa, zikapatikana taarifa kwamba amekutwa akiwa amekufa hotelini, alikoingia na mwanaume ambaye tunahisi ni huyo mume wake mtarajiwa.
“Siku ya tukio nilikuwa na marehemu msibani, mjomba wetu alikuwa amefariki dunia, kutokana na msiba huo mdogo wangu alimpigia simu mchumba wake ambaye anaishi Afrika Kusini.
“Mchumba wake alilazimika kuja Dar kushiriki msiba pamoja na kuweka vizuri taratibu za ndoa yao.
“Tulipomaliza taratibu za kusafirisha mwili wa mjomba kwenda Kondoa, (mkoani Singida), mdogo wangu alilazimika kubaki na mchumba wake ili wayajenge mambo yaliyokuwa mbele yao.
“Sisi tukaondoka kwenda Kondoa, baadaye napigiwa simu na mhudumu wa hoteli ananiambia eti mdogo wangu amefariki, kiukweli imenishangaza sana."
Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 BREAKING:
/ uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1