Перейти к содержимому

WENYEKITI CHAMWATA AFUNGUKA HAYA BAADA YA CHAMA CHAO KUPATA USAJILI RASMI.

Daily News Digital

0:00 / 0:00

WENYEKITI CHAMWATA AFUNGUKA HAYA BAADA YA CHAMA CHAO KUPATA USAJILI RASMI.

52 просмотра · 8 часов назад
Daily News Digital
285 тыс. подписчиков
52 просмотра · 8 часов назад
MWENYEKITI wa Chama cha Maendeleo ya Waganga Wataalam watoa huduma Tiba asili Tanzania(CHAMWATA) Shabani Ramadhan amesema kuwa mara baada ya Chama Chao kupata usajili,kwanza wamejikita kutoa elimu kwa waganga lakini pia kuwawezesha kupata maendeleo. Ameyasema hayo Jijini Mwanza wakati akifunga kikao cha siku mbili kilichowakutanisha wanachama wao kwa lengo la kujadili mambo mbalimbali yanayohusu Chama chao. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09