Перейти к содержимому

HAUTOPONA MIKONONI MWAO MPAKA UTAKAPOFAHAMU HILI | Maadui wa Ndoto Zako, Usiowajua. ~ Eliona Kimaro

Hub of Wisdom Inc.

0:00 / 0:00

HAUTOPONA MIKONONI MWAO MPAKA UTAKAPOFAHAMU HILI | Maadui wa Ndoto Zako, Usiowajua. ~ Eliona Kimaro

10 019 просмотров · 1 г. назад
Hub of Wisdom Inc.
154 тыс. подписчиков
10 019 просмотров · 1 г. назад
Weka mipaka ya watu wanaokuzunguka kabla hawajaharibu maisha yako kabisa! Kuna watu wanaokujua vizuri zaidi kuliko unavyofikiri, na usipojua namna ya kushughulika nao unaweza kupoteza ndoto zako milele. Katika video hii, Mch. Kimaro anafundisha kwa undani juu ya: ✅ Jinsi ya kutambua maadui wa ndoto zako usiowajua ✅ Kwa nini usipoweka mipaka hutapona mikononi mwao ✅ Hatua muhimu za kulinda maisha yako, ndoto zako, na mustakabali wako Usikubali ndoto zako zikapotea kwa sababu ya maneno au vitendo vya watu waliokaribu nawe. 👉 Tazama video hii mpaka mwisho ili ujifunze namna ya kuishi kwa hekima na ulinzi wa kiroho. 🔔 Subscribe kwa H.W Media kwa mafunzo mengine ya kina kutoka kwa viongozi wa kiroho na maendeleo binafsi. 📤 Share video hii ili kuhamasisha kizazi kinachotafuta ukuu wenye misingi bora. Shiriki mijadala hii na mingine mingi katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media ........................................................................................................................... #MaaduiWaNdoto #MchKimaro #Motivation #LifeLessons #HekimaYaMaisha #Motivation #DrElionaKimaro #Inspiration #Faith #HWMedia#Ujasiri #Hofu #Motisha #Changamoto #MaendeleoBinafsi #Usiogope #Fanikio #Nidhamu #Self-Discpline #Adabu #Ukuu #RevElionaKimaro #NondoZaMaisha #HWMEDIA #MaendeleoBinafsi #MotishaYaKweli #Tabia #Invest Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Burundi #YouTubeTanzania #Semina #Mahubiri