SULTAN MATAKA WA KABILA LA WAYAO AELEZEA NGOMA YA MKOMAULA INAYOCHEZWA NA KABILA HILO
RUVUMA TV
0:00 / 0:00
SULTAN MATAKA WA KABILA LA WAYAO AELEZEA NGOMA YA MKOMAULA INAYOCHEZWA NA KABILA HILO
27 177 просмотров · 8 лет назад
RUVUMA TV
76,7 тыс. подписчиков
27 177 просмотров · 8 лет назад
Kupitia kipindi cha Utalii cha Talii na Ruvuma TV tumekuandalia kipindi maalum kinachohusu Sherehe za asili za kabila la Wayao katika mkoa wa Ruvuma, Sherehe hizi zinakwenda kwa jina la Mkomaula, Sherehe hizi hufanyika kila mwaka na kuongozwa na Sultan Mataka ambaye ni Sultan wa tano wa kabila la Wayao Tanzania.