Перейти к содержимому

ERICK SIMON_ WAAMBIE(OFFICIAL VIDEO)

ERICK SIMON

0:00 / 0:00

ERICK SIMON_ WAAMBIE(OFFICIAL VIDEO)

6 493 просмотра · 12 дней назад
ERICK SIMON
1,8 тыс. подписчиков
6 493 просмотра · 12 дней назад
Haleluyaaa!!! Mungu amenipa neema ya kukuandalia video ya wimbo wa WAAMBIE ni wimbo wenye ujumbe mzuri sana na umebeba matumaini kwa watu ambao walitamkiwa maneno mabaya pia Kila ubaya ulio pangwa dhidi yako uwarudie wenyewe wimbo huu utakufanya kuinua kiwango Cha imani yako na kuona ipo siku mipango yako itatimia hata kama walikwambia hautafika lakini WAAMBIE MIMI BADO NASONGA MBELE kwa jina la YESU Mungu akubariki sana karibu tuitazame pamoja na kuishambaza pamoja.