Перейти к содержимому

MEDICOUNTER: Mvurugiko wa homoni mwilini husababishwa na nini?

Azam TV

0:00 / 0:00

MEDICOUNTER: Mvurugiko wa homoni mwilini husababishwa na nini?

49 304 просмотра · 7 лет назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
49 304 просмотра · 7 лет назад
Limekuwa jambo linalozungumzwa sana miongoni mwa wanawake kuhusiana na mabadiliko ya hali za kimwili zinazosababishwa na mabadiliko ya mpangilio wa homoni mwilini mwake. Je, mabadiliko ya homoni husababishwa na nini na tatizo hilo hudhibitiwa vipi? Ungana na Dafrosa Prosper ndani ya MEDICOUNTER kupata undani juu ya hilo.