ULIMWENGU WA WAFU (FULL HORROR STORY)
Wissy
0:00 / 0:00
ULIMWENGU WA WAFU (FULL HORROR STORY)
4 580 просмотров · 9 дн. назад
Wissy
410 подписчиков
4 580 просмотров · 9 дн. назад
Baada ya kutelekezwa na mumewe, Maya anarudi kwenye nyumba ya urithi ya marehemu mama yake pamoja na binti yake, Anna. Lakini nyumba hiyo inaficha siri ya kutisha inayohusiana na ulimwengu wa wafu. Maya anapogundua kuwa amerithi uwezo wa kuingia katika ulimwengu huo, anajikuta kwenye hatari kubwa. Mambo yanazidi kuwa mabaya pale Anna anapotekwa na nguvu za giza zinazotaka kuleta maangamizi duniani.
Je, Maya ataweza kumwokoa binti yake na kuwarudisha wafu kwenye ulimwengu wao
👍 Like, Comment, Share na Subscribe kwenye @wissystories kwa simulizi za kusisimua kama hizi
#WissyStories #HadithiZaKutisha #HorrorStories #SwahiliStories #AfricanHorror
#SimuliziZaKusisimua #UlimwenguWaWatuWasioHai #SimuliziZaKutisha