Malembo Farm: Biashara ya Mkojo wa Sungura inavyotajirisha vijana, Nyama, Ngozi, Kinyesi vyote deal
PROMO ONLINE TV
0:00 / 0:00
Malembo Farm: Biashara ya Mkojo wa Sungura inavyotajirisha vijana, Nyama, Ngozi, Kinyesi vyote deal
20 342 просмотра · 6 лет назад
PROMO ONLINE TV
10,1 тыс. подписчиков
20 342 просмотра · 6 лет назад
Promo Onine TV kupitia Agripromo inakuletea mambo mazuri kuhusu kilimobiashara na leo tumekuletea biashara ya mkojo wa Sungura na manufaa yake.
Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.