Перейти к содержимому

DR. NDUMBARO AKIMPATIA ELIMU YA MIRATHI MWANANCHI AMBAE NI MSISIMAZI WA MIRATHI YA FAMILIA.

Mama Samia Legal Aid Campaign

0:00 / 0:00

DR. NDUMBARO AKIMPATIA ELIMU YA MIRATHI MWANANCHI AMBAE NI MSISIMAZI WA MIRATHI YA FAMILIA.

439 просмотров · 1 год назад
Mama Samia Legal Aid Campaign
1,16 тыс. подписчиков
439 просмотров · 1 год назад
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, akimpatia elimu ya mirathi mwananchi anayesimamia urithi wa familia yake. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutoa elimu ya sheria ili kuhakikisha haki na usawa vinazingatiwa katika masuala ya mirathi. Tazama maelezo muhimu kuhusu usimamizi wa mirathi! #ElimuYaMirathi #HakiKwaWote #DamasNdumbaro #SerikaliYaAwamuYaSita #MSLAC