Taarifa Muhimu Kwa Umma Wa Kiislam, Mjumbe Wa Balaza La Ulamaa Taifa Afunguka Yote
QIBLATEIN ONLINE
0:00 / 0:00
Taarifa Muhimu Kwa Umma Wa Kiislam, Mjumbe Wa Balaza La Ulamaa Taifa Afunguka Yote
270 просмотров · 1 г. назад
QIBLATEIN ONLINE
107 тыс. подписчиков
270 просмотров · 1 г. назад
Mjumbe wa Baraza la Ulamaa Taifa ametoa taarifa muhimu kwa Waislamu wote nchini, akifunguka kuhusu maandalizi na umuhimu wa kushiriki katika mashindano makubwa ya kitaifa ya Qur'an Tukufu yanayotarajiwa kufanyika katika mkoa wa Tabora. Waislamu wote wanahimizwa kujitokeza kwa wingi kushuhudia na kushiriki katika tukio hili la kiibada na la kuimarisha elimu ya dini.
QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM YOUTUBE @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 https://www.facebook.com/profile.php?...
TIKTOK 👉👉 https://www.tiktok.com/creator-center