#MadeinTanzania Utengenezaji wa Vipodozi katika Kiwanda cha Tridea
Xtreme Media
0:00 / 0:00
#MadeinTanzania Utengenezaji wa Vipodozi katika Kiwanda cha Tridea
12 410 просмотров · 6 лет назад
Xtreme Media
10,6 тыс. подписчиков
12 410 просмотров · 6 лет назад
Moja ya biashara kubwa na yenye fursa duniani ni urembo. Sekta inayochangia mzunguko wa zaidi ya Dollar Trilioni 4 kwa mwaka duniani.
Ndio maana Safari ya #MadeinTanzania katika video hii itakuonyesha namna ya uwekezaji na uzalishaji wa bidhaa hizi za Urembo na Vipodozi unavyofanyika kiwandani kwa kuzingatia ubora hapa hapa Tanzania.