🔴 LIVE NOW | MASHINDANO MAKUBWA YA QUR’AN TUKUFU NCHINI BURUNDI 🇧🇮
Benab_Visual 🎥
0:00 / 0:00
🔴 LIVE NOW | MASHINDANO MAKUBWA YA QUR’AN TUKUFU NCHINI BURUNDI 🇧🇮
340 просмотров · Трансляция закончилась 9 дней назад
Benab_Visual 🎥
48 подписчиков
340 просмотров · Трансляция закончилась 9 дней назад
Mashindano makubwa ya Qur’an Tukufu nchini Burundi, yanayoandaliwa na Jumuiya ya Kiislamu nchini Burundi (FEBRON), yakilenga kuhamasisha kuhifadhi, kusoma na kuifahamu Qur’an Tukufu.
🏆 Mashindano yatakuwa na jumla ya washindani 30, katika makundi matatu:
🔹 JUZU 10 – Washindani 10
🔹 JUZU 20 – Washindani 10
🔹 JUZU 30 – Washindani 10
💰 ZAWADI KUU: USD 5,000 kwa mshindi.
✨ Ni mashindano yanayolenga kuibua vipaji, kuhamasisha kizazi cha Qur’an na kuimarisha mapenzi ya Waislamu kwa Kitabu Kitukufu cha Allah.
Usisahau LIKE 👍, SHARE 🔄, COMMENT 💬 na SUBSCRIBE 🔔 kwenye channel ya Benab Visual kwa coverage zaidi za matukio, harusi, documentaries, live events na production za ubora.
🎬 BENAB VISUAL
Creative minds. Impactful results.
📩 Kwa kazi za Video Production, Videography, Live Streaming, Event Coverage, Video Editing, Graphic Design na Branding, wasiliana na Benab Visual.
#BenabVisual #Burundi #qurantilawat #viral #tilawat #quran #quranrecitation #livestreaming #trending #fyp #youtube