Video hii niliichukua 1/10/2022 kabla sijahairisha kukodisha ukumbi
KANISA LA UBALOZI WA MBINGUNI
0:00 / 0:00
Video hii niliichukua 1/10/2022 kabla sijahairisha kukodisha ukumbi
58 просмотров · 13 дн. назад
KANISA LA UBALOZI WA MBINGUNI
168 подписчиков
58 просмотров · 13 дн. назад
Siku hii ilikuwa ni tarehe 1/10/2022 nilienda kulipia ukumbi ila kabla sijaulipia ndio nikawa nimechukua hii video ukumbini lakini sasa nikiwa nataka kuulipia wenye ule ukumbi wakaanza kusumbua maana nilifika saa sita na tulikubakubaliana muda huo ila cha ajabu wao wakafika saa tisa kutokana na hili nikaghairisha kuulipia tarehe moja huo ukumbi na sababu nyingine nilikuwa sijapeleka nakala za utambulisho kwa serikali. Hivyo siku hii ilishindikana kuulipia huu ukumbi.