Rozari ya Machozi ya Damu ya Bikira Maria || Valeriana Mayagaya || MwanaSayuni
Valeriana Simon
0:00 / 0:00
Rozari ya Machozi ya Damu ya Bikira Maria || Valeriana Mayagaya || MwanaSayuni
18 102 просмотра · 3 г. назад
Valeriana Simon
19,3 тыс. подписчиков
18 102 просмотра · 3 г. назад
Rafiki mpendwa, rozari hii ina mafungu saba, na kila fungu lina punje saba. Hivyo katika KUSALI rozari hii, tumia rozari ambayo pia tunaitumia tunaposali rozari ya mateso saba ya Bikira Maria. Ila hii mwanzoni haina zile salaam Maria tatu.
Ukitaka kufahamu zaidi kuhusu Rozari hii soma kuhusu Mtokewa, Sr AMALIA AGUIRRE (1901-1977).