Перейти к содержимому

BWANA U SEHEMU YANGU: Nyimbo za Kikristo | Pamoja na Wewe |Tenzi za Rohoni Na. 116 .

MLG Gospel - Nyimbo za Kusifu na Kuabudu Tanzania

0:00 / 0:00

BWANA U SEHEMU YANGU: Nyimbo za Kikristo | Pamoja na Wewe |Tenzi za Rohoni Na. 116 .

285 просмотров · 11 дней назад
MLG Gospel - Nyimbo za Kusifu na Kuabudu Tanzania
467 подписчиков
285 просмотров · 11 дней назад
🙏🎶 TENZI ZA ROHONI Na. 116 — BWANA, U SEHEMU YANGU “Bwana, u sehemu yangu, rafiki yangu wewe; katika safari yangu, nitatembea na wewe. Pamoja nawe katika safari yangu, nitatembea na wewe.” Wimbo huu unatukumbusha umuhimu wa kutembea na Bwana katika safari yetu ya maisha. ❤️ Unapoimba tenzi hii, na moyo wako ukumbuke kumtegemea Mungu katika kila hatua ya maisha yako. 🙏 Je, tenzi hii inakugusa moyo? Tuambie kwenye maoni na mshirikishe mtu mwingine anayependa Tenzi za Rohoni. Usisahau ku-like, kushare na ku-subscribe kwa nyimbo zaidi za kumtukuza Mungu. #TenziZaRohoni #Tenzi116 #NyimboZaKikristo #GospelMusic #MLGGospel