PAKACHA MWANAIDI SHABANI/EAST AFRICA MELODY
Mwambao muziki wetu
0:00 / 0:00
PAKACHA MWANAIDI SHABANI/EAST AFRICA MELODY
148 167 просмотров · 10 лет назад
Mwambao muziki wetu
30,5 тыс. подписчиков
148 167 просмотров · 10 лет назад
Pakacha ni wimbo unaozumzia mwanamke asie jieshimu,mwanamke huyu ni pakacha bovu ambalo kila bidhaa ubebea lakini si salama au kwa lugha nyingine ni mwanamke Malaya.Fahamu kuwa wimbo ndio wimbo ambao ulinzisha midundo ya yenye maahadhi ya sebene au Ngoma chini na wengine wakafuta kwa kuona inapendwa sana na watu.Hali ilivyo kwa sasa mapakacha ni mengi sana hali inayopekea milipuko ya maladhi kila kukicha.Hongera Mwanaidi Shabani kwa kazi nzuri na yenye kuelimisha jaami kwa ujumla.