Перейти к содержимому

Niruhusu Ee Yesu Nijongee by Elias Kidaluso

Mike King'oo

0:00 / 0:00

Niruhusu Ee Yesu Nijongee by Elias Kidaluso

23 874 просмотра · 4 г. назад
Mike King'oo
3,24 тыс. подписчиков
23 874 просмотра · 4 г. назад
Wimbo-Niruhusu Ee Yesu Nijongee Mtunzi-Elias F. Kidaluso Maneno Ya Wimbo Niruhusu Yesu wangu, niijongee meza yako Unisamehe dhambi Mwokozi, uje rohoni mwangu uniokoe Njoo kaa ndani yangu, nami nikae ndani yako Ili nipate amani tele, ndani ya Roho yangu nifarijike { Wewe Bwana (wewe Bwana wanijua) Wanijua (hata nafsini mwangu) Wewe ndiwe tabibu pekee wa roho yangu Tena ndiwe kimbilio langu }*2 1. Tazama Yesu wangu ninajongea karamu yako Pengine kwako Bwana sikustahili kuijongea Unihurumie ee Yesu wangu unisamehe 2. Hakika kwako Bwana makosa mengi nimeyatenda Ubinadamu wangu siwezi kuficha kwako Bwana Unihurumie ee Yesu wangu unisamehe 3. Niwazi Yesu wangu unaujua udhaifu wangu Sina chakujitolea mbele yako Ee Yesu wangu Unihurumie Ee Yesu wangu unisamehe