TAZAMA MIZUKA YA BOBA AMBAYE NDIYE DJ WA 'DOGO PATEN' SIO MCHEZO, SHUHUDIA A-Z, YAWAKOSHA WENGI SANA
Millard Ayo
0:00 / 0:00
TAZAMA MIZUKA YA BOBA AMBAYE NDIYE DJ WA 'DOGO PATEN' SIO MCHEZO, SHUHUDIA A-Z, YAWAKOSHA WENGI SANA
60 166 просмотров · 1 г. назад
Millard Ayo
6,23 млн подписчиков
60 166 просмотров · 1 г. назад
'Ni Headline za Mkali kutokea kwenye kiwanda Cha Singeli Tanzania, Dogo Paten ambae Usiku huu wa Mei 14, 2025 anatumbuiza katika chimbo maarufu kama Kisuma 5G lililopo Temeke Jijini Dar es Salaam.
Usiku huu ni maalum umeandaliwa kwaajili ya Mashabiki kukutana na msanii huyo anaekuja kwa kasi ili wafurahi na kumshuhudia akitumbuiza huku akiziimba nyimbo zake ikiwemo ile aliyomshirikisha Zuchu iitwayo Afande Remix.
Tazama hapa video hii ushuhudie kile kilichojiri Sihitaji upitwe mtu wangu mwanzo mwisho alivyopewa Shangwe, Wana Temeke wamempa maua yake.