Перейти к содержимому

RAIS WA IRAN ATIKISA UN-" ISRAEL INA NYUKLIA NASI TUNA HAKI PIA" HATUWEZI KUKUBALI KULAMIZISHWA

Global TV Online

0:00 / 0:00

RAIS WA IRAN ATIKISA UN-" ISRAEL INA NYUKLIA NASI TUNA HAKI PIA" HATUWEZI KUKUBALI KULAMIZISHWA

794 просмотра · 47 минут назад
Global TV Online
5,94 млн подписчиков
794 просмотра · 47 минут назад
RAIS WA IRAN ATIKISA UN-" ISRAEL INA NYUKLIA NASI TUNA HAKI PIA" HATUWEZI KUKUBALI KULAMIZISHWA Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema nchi yake haitakubali kamwe kuachana na haki yake ya kuendeleza mpango wa kurutubisha urani kwa matumizi ya kiraia, akitoa msimamo huo katika hotuba yake mbele ya Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani, Jumatano, Septemba 23, 2026. Hotuba hiyo imekuja wakati vita kati ya Iran na Marekani pamoja na Israel vikiendelea, huku juhudi za kidiplomasia za kutafuta makubaliano ya kusitisha mapigano zikiwa zinaendelea. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com