PATA KIBALI CHA USTAWI KIFEDHA KWA KANUNI HIZI ZA KIMUNGU ~ Pastor Tony Kapola
Hub of Wisdom Inc.
0:00 / 0:00
PATA KIBALI CHA USTAWI KIFEDHA KWA KANUNI HIZI ZA KIMUNGU ~ Pastor Tony Kapola
3 770 просмотров · 1 мес. назад
Hub of Wisdom Inc.
149 тыс. подписчиков
3 770 просмотров · 1 мес. назад
Angalia sehemu ya pili hapa: • KANUNI HIZI ZA KIMUNGU ZITAKUPA MATOKEO YA...
Katika mafundisho haya, Pastor Tony Kapola anaeleza kwa kina kanuni za kiMungu zinazohusiana na fedha, mafanikio na ustawi wa maisha. Anagusa namna ya kubadilisha mtazamo wako kuhusu fedha, kufanya kazi kwa hekima, kutumia fursa kwa usahihi na kujenga maisha yenye misingi inayodumu.
Je, inawezekana kupata na kutumia fedha bila kupoteza misingi ya kiroho? Ni kanuni zipi za kimungu zinazoweza kukusaidia kusimamia fedha, kuongeza kipato na kufikia kiwango bora cha maisha?
Tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media
------------------------------
#TonyKapola #Fedha #KanuniZaKimungu #Ustawi #Mafanikio #Biashara #HWTv #MaendeleoBinafsi