MEDICOUNTER | Fahamu kuhusu uvimbe kwenye kizazi na matibabu yake
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
MEDICOUNTER | Fahamu kuhusu uvimbe kwenye kizazi na matibabu yake
824 просмотра · 6 месяцев назад
UTV Tanzania
183 тыс. подписчиков
824 просмотра · 6 месяцев назад
Kuna aina nyingi za vimbe kwenye kizazi lakini zile ambazo zinatambulika sana ni ambazo mara nyingi hujitokeza katika misuli ya kizazi na ni vivimbe avyo si vya saratani, fuatilia makala hii kujua aina mbalimbali za vimbe kwenye kizazi.