Перейти к содержимому

NITAJONGEA MEZA YAKO - FELICIAN A. NYUNDO | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)

Jugo Media Network

0:00 / 0:00

NITAJONGEA MEZA YAKO - FELICIAN A. NYUNDO | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)

22 034 просмотра · 6 л. назад
Jugo Media Network
216 тыс. подписчиков
22 034 просмотра · 6 л. назад
Wimbo - Nitajongea meza yako Mtunzi - Felician Albert Nyundo Organist - Lazarus Patiu Church/Location - Parokia ya Chuo Kikuu UDSM Society - Tanzania organists Society (TOS) Video Credit- Jugo Media NITAJONGEA MEZA YAKO @ F. A. Nyundo Nitajongea meza yako, ee Bwana Nitajongea meza yako, ee Bwana, Bwana nipokee nakuja { Ninakuja kwako, ee Bwana (kweli) Nikakupokee, ee Bwana Kwani wewe ndiwe uzima } *2 Chakula kina uzima, ee Bwana Huwashibisha wenye njaa, Bwana nipokee nakuja Kinywaji kina uzima, ee Bwaba Huwashibisha wenye kiu, Bwana nipokee nakuja Ni meza yenye mapendo, ee Bwana Yenye kuleta amani, ee Bwana, Bwana nipokee nakuja Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki. Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii: Instagram:   / jugo_media   Facebook:   / jugomedia2019   Mawasiliano: JUGO MEDIA, Sokoine Drive, Posta P. O. BOX 34014, Dar es Salaam. For Bookings and other Enquiries Phone Number +255757560764/657790405 #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa