Перейти к содержимому

UFUGAJI WA KUKU WA UREMBO AINA YA BRAHMA |KUKU BRAHMA KUKU MKUBWA DUNIANI|

MKULIMA SMART TV

0:00 / 0:00

UFUGAJI WA KUKU WA UREMBO AINA YA BRAHMA |KUKU BRAHMA KUKU MKUBWA DUNIANI|

15 752 просмотра · 3 года назад
MKULIMA SMART TV
40,5 тыс. подписчиков
15 752 просмотра · 3 года назад
SIFA ZA KUKU WA UREMBO AINA YA GIANT BRAHMA 1. Anauwezo wa kutaga mayai mengi zaidi ya 250 kwa mwaka, anafikisha kg 5-8 2. KUKU BRAHMA ni kuku wa mapambo na urembo. 3. KUKU BRAHMA anafundishika na anaefuga sio tajiri tu ila ni mtu mwenye hobby na upendo nao. 4. KUKU BRAHMA sio wa kumfananisha na mbuzi au ng'ombe ni kuku wa kufananisha na ndege wa mapambo kama njiwa , kasuku na wanyama wa mapambo kama mbwa wa pesa nyingi paka wa pesa nyingi n.k 5.KUKU WA MAPAMBO BRAHMA thamani yake pia inachangiwa na wafugaji kuwa wachache na kuwa kuku adimu. 6. BRAHMA ni kuku anaemudu mazingira yote kisasa na kienyeji. 7. BRAHMA anakula chakula sawa na kuku wengine kama chotara n.k 8. BRAHMA anahimiri magonjwa kwa kiasi kubwa ukifananisha na kienyeji ya tanzania. 9. BRAHMA ni kuku giant zaidi duniani. 10. Utajiri sio kigezo cha kufuga BRAHMA Bali upendo , biashara , pambo na urembo n.k Hawa ni kuku aina ya Brahma.,ni kuku wakubwa zaid dunian wanauwezo wakufika zaid ya kilo tano Mayai ya Kuku wa urembo aina ya Silk yapo ya kutosha, Badilisha mwonekano wa mazingira yako kwa kufuga KUKU WA UREMBO ya urembo. Shindano la urembo kwa kuku lafanyika mjini The Silkie (also known as the Silky or Chinese silk chicken) is a breed of chicken named for its atypically fluffy plumage, which is said to feel like silk and satin. The breed has several other unusual qualities, such as black skin and bones, blue earlobes, and five toes on each foot, whereas most chickens only have four UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KWA NJIA ZA KISASA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KWA NJIA ZA KISASA : Kuku wa kienyeji ni chanzo kikubwa cha asili cha mapato na lishe katika kaya / familia. ufugaji wa kuku wa kienyeji biashara pdf bei ya kuku wa kienyeji ujenzi wa mabanda ya kuku wa kienyeji pdf ufugaji wa kuku 2020 ufugaji wa kuku kienyeji kenya ufugaji wa kuku katika eneo dogo ufugaji wa kuku jamii forum ufugaji wa bata JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI HATUA ... Jinsi Ya Kufuga Kuku wa Kienyeji na Faida zake Tanzania . UFUGAJI WA MFUMO WA NUSU HURIA. kuku_chapchap - Mbinu 6 Za Ufugaji Bora wa Kuku wa kienyeji UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KAMA MRADI UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KWA NJIA ZA KISASA Fomula ya ufugaji bora wa kuku wa kienyeji KUKU WA KIENYEJI: Mtaji mdogo ila pato ni maradufu UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KIBIASHARA