Перейти к содержимому

Qur-an si inajitosheleza, kwanini tutumie hadithi za mtume (s.a.w)?

Masjid Khalil Magomeni

0:00 / 0:00

Qur-an si inajitosheleza, kwanini tutumie hadithi za mtume (s.a.w)?

76 просмотров · 2 нед. назад
Masjid Khalil Magomeni
669 подписчиков
76 просмотров · 2 нед. назад
SWALI: Allah katumia neno tafsiil katika aya (111, Yusuf) na (12, Al-isra) .. na kimaana linakuja kuwa ni kwamba Allah kaifafanua qur'an kiundani kabisa .. ikiwa maan inakuja hvo ni kwanini sisi baadhi ya mamb mengi tunahitaji hadithi za mtume kupata ufafanuz na sio quran yenyewe? وأقيموا الصلاة Kwa mfano, Allah kasema lakini ukitizama mtu hatojua namna ya kusali mpaka aende katika hadithi za mtume (s.a.w), hapa tafsiil ina maana gani ktk qur'an? #islam #ibadhi #maswalinamajibu #quran #hadith