Перейти к содержимому

IBADA TAKATIFU YAONGOZWA NA MTUME WA WILAYA NDG. JOSEPH O EKHUYA KAYANGA KARAGWE TR 18.06.2023

HM ONLINE TV

0:00 / 0:00

IBADA TAKATIFU YAONGOZWA NA MTUME WA WILAYA NDG. JOSEPH O EKHUYA KAYANGA KARAGWE TR 18.06.2023

1 108 просмотров · Трансляция закончилась 3 г. назад
HM ONLINE TV
3,8 тыс. подписчиков
1 108 просмотров · Трансляция закончилась 3 г. назад
Live:- MTUME WA WILAYA JOSEPH OPEMBA EKHUYA AONGOZA IBADA TAKATIFU KATIKA KUSANYIKO LA KAYANGA LILIPO WILAYANI KARAGWE MKOANI KAGERA TANZANIA NENO:- Mathayo 21:28-31 [28]Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; akamwendea yule wa kwanza, akasema, Mwanangu, leo nenda kafanye kazi katika shamba la mizabibu. [29]Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende. [30]Akamwendea yule wa pili, akasema vile vile. Naye akajibu akasema, Sitaki; baadaye akatubu, akaenda. [31]Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu. SOMO:- KUKUBALI WITO Ratiba ya nyimbo 1.Kufungua ibada:- Mungu mkuu twakusifu. 2. Wimbo kwa ajili ya toba:- Ni nje langoni. 3.Ushirika mtakatifu:- Ninasifu pendo la Mungu na Nimekombolewa na Yesu. 4: Baada ya ibada:- Watu wote duniani. Wahubili 1.Mtume Joseph Opemba Ekhuya 2.Mtume Joseph Celestine 3.Mtume Sebastiani Maneno Ibada imefanyika kusanyiko la Kayanga, Karagwe Kagera Tanzania ©18.06.2023