MWANA LUBAA
Kitenga Entertainment
0:00 / 0:00
MWANA LUBAA
315 просмотров · 4 дня назад
Kitenga Entertainment
149 подписчиков
315 просмотров · 4 дня назад
#MWANA_LUBAA
Ni fiml ya Kitanzania inayohusu mila na tamaduni za jamii zinazo tuzunguka, story inawahusu wazazi wawili mume na mke baada ya kuishi muda mwingi katika ndoa pasipo kupata mtoto,
Ndipo wakaamua kwenda kwenye mzimu wa MWANA LUBAA kuomba wapate mtoto,
Imetayarishwa na kampuni ya KITENGA ENTERTAINMENT
karibu kutazama fiml nzuri yenye visa vingi vya kusisimua.
#movie #film #apcreator