Dogo Elisha - Nini tena Hiki? (Singeli LyricVideo)
Dogo Elisha
0:00 / 0:00
Dogo Elisha - Nini tena Hiki? (Singeli LyricVideo)
42 827 просмотров · 2 года назад
Dogo Elisha
46,4 тыс. подписчиков
42 827 просмотров · 2 года назад
ooh jamani yallah mama nini tena hiki?
mbona moto kujikwaa njiti ya kibiriti
jamanii mama nalidondosha kabati
mozeeh vibes
mbonaa aah
mbonaa aah
mbonaa aah
mbonaa aah
mbona vijana wa show mbona wanakimbia bado
mbona mi sio bishoo matozi kunipata bado
mbona nachapa mguu ndani nimeweka prado
pesa nyingi kwa kisadoo ustaa kama ronaldo
mbona kuna machawa nawastiri bado
mbona ma-ex wwanapiga simu bado
mbona makabila kuimba singeli bado
mbona kama nio singo mbona kama sipo singo
anhaaa
ooh jamani yallah mama nini tena hiki?
mbona moto kujikwaa njiti ya kibiriti
jamanii mama nalidondosha kabati
jamani mbona kaleta ushoga mbele ya chapati
kaleta ushoga mbele ya chapati
kaleta ushoga mbele ya chapati