MAKOSA BY CHRIST'S MESSENGERS OFFICIAL VIDEO 4K
CHRIST'S MESSENGERS
0:00 / 0:00
MAKOSA BY CHRIST'S MESSENGERS OFFICIAL VIDEO 4K
647 просмотров · 11 дней назад
CHRIST'S MESSENGERS
698 подписчиков
647 просмотров · 11 дней назад
Huu ni wimbo ulioimbwa na kwaya ya Christ's messenger's kutoka kanisa la waadventista wasabato namanga
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wimbo huu unakujaa na ujumbe wa kipekee sana unaotukumbusha kugundua kuwa sisi tu wadhambi na yatupasa kugundua makosa yetu na kumrudia MUNGU Kwa kutubu dhambi zetu ili atakapo rejea atukute tayari
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Zaburi 32:5-7, 10-11
5 Nalikujulisha dhambi yangu, Wala sikuuficha upotovu wangu. Nalisema, Nitayakiri maasi yangu kwa Bwana, Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu.
6 Kwa hiyo kila mtu mtauwa Akuombe wakati unapopatikana. Hakika maji makuu yafurikapo, Hayatamfikia yeye.
7 Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso, Utanizungusha nyimbo za wokovu.
10 Naye mtu mwovu ana mapigo mengi, Bali amtumainiye Bwana fadhili zitamzunguka.
11 Mfurahieni Bwana; Shangilieni, enyi wenye haki Pigeni vigelegele vya furaha; Ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
SONG CREDITS
Artist: CHRIST'S MESSENGERS
(+255 737 505 619)
Song: MAKOSA
Composer: ALEX MATHIAS
(+255 741 923 879)
Audio: SINGSTAND MUSIC RECORD
(+254 702 973 593)
Video: AMAX MUSIC GROUP
(+254 713 579 583)
Instrument programer: SOLOMON
(+254 734 370 325)
USISAHAU KUFANYA YAFUATAYO
LIKE
COMMENT
SUBSCRIBE
SHARE
KARIBU TUBARIKIWE SOTE