NIMEACHA YOTE Fr Venance Christopher
UNITUME BWANA
0:00 / 0:00
NIMEACHA YOTE Fr Venance Christopher
6 077 просмотров · 3 недели назад
UNITUME BWANA
5,28 тыс. подписчиков
6 077 просмотров · 3 недели назад
NIMEACHA YOTE by Fr. Venance Christopher. Ni wimbo mzuri sana katika kuhamasisha miito mitakatifu. Unaoonesha kujitoa kabisa mwili na roho katika kumtumikia Mungu.Umeimbwa vizuri na kwa ustadi mkubwa na kwaya yetu pendwa ya Masista Wamisionari wa Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu na Maria Singida -Tanzania.
🔥 JINA LA WIMBO : NIMEACHA YOTE
🔥 MTUNZI: FR. VENANCE CHRISTOPHER
🔥 WAIMBAJI: Kwaya ya Masista Wamisionari wa Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu na Maria Singida -Tanzania
🔥AUDIO STUDIO: NADI PRO
🔥 VIDEO STUDIO: THE GALAXY PRO
Usisahau ku-like , ku-share, ku-comment na ku- subscribe katika channel yetu pendwa ya UNITUME BWANA . MUNGU akubariki sana.