Перейти к содержимому

LIVE: LISSU KUACHIW GEREZANI? ADO SHAIBU AZUA MOTO, CHADEMA YAKABILIWA NA TUHUMA NZITO!

HARAKATI TV

0:00 / 0:00

LIVE: LISSU KUACHIW GEREZANI? ADO SHAIBU AZUA MOTO, CHADEMA YAKABILIWA NA TUHUMA NZITO!

88 759 просмотров · Трансляция закончилась 2 месяца назад
HARAKATI TV
94,4 тыс. подписчиков
88 759 просмотров · Трансляция закончилась 2 месяца назад
LIVE: LISSU KUACHIW GEREZANI? ADO SHAIBU AZUA MOTO, CHADEMA YAKABILIWA NA TUHUMA NZITO! Katika video hii tunachambua masuala matatu makubwa yanayotikisa siasa za Tanzania kwa sasa. Kwanza, tunajadili kauli ya John Mnyika iliyozua maswali kuhusu uwezekano wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuachiwa huru hivi karibuni. Pili, tunachambua mjadala unaomzunguka Ado Shaibu kuhusu kauli yake ya kukiri kuwa ubunge wake ni wa kupewa na hoja za wanaomtaka ajiuzulu. Tatu, tunatazama mvutano mpya unaohusisha CHADEMA baada ya kauli za Kenani Kihongosi kuhusu madai ya vikao vya siri na majibu ya John Heche. Je, Tundu Lissu anaweza kuachiwa huru hivi karibuni? Je, Ado Shaibu anapaswa kujiuzulu? Na je, CHADEMA inakabiliwa na changamoto mpya za kisiasa? Tazama uchambuzi huu mpaka mwisho na usisahau kuacha maoni yako. #TunduLissu #AdoShaibu #Chadema #JohnMnyika #JohnHeche #KenaniKihongosi #SiasaZaTanzania #TanzaniaPolitics #SamiaSuluhu #UchaguziTanzania #HabariZaLeo #Siasa #Tanzania