Перейти к содержимому

FEROOZ - Full Interview na Bongo Project

Bongo Project

0:00 / 0:00

FEROOZ - Full Interview na Bongo Project

4 167 просмотров · 4 года назад
Bongo Project
9,57 тыс. подписчиков
4 167 просмотров · 4 года назад
Ferooz anakuwa msanii wa pili kwenye mfululizo wa vipindi vya Bongo Project. Katika interview hii ndefu Ferooz anaelezea juu ya maisha yake ya utotoni, shule, malezi na kuanza kuupenda muziki. Anawataja watu mbalimbali waliomuwezesha kufika hapa na pia anasimulia visa na mikasa kwenye maisha yake ya muziki. Kuna vingi hujui kwenye safari ya muziki na maisha ya msanii Ferooz. Angalia na Sikiliza hapa. #ferooz #feruzi #bongofleva #daznundaz #bongoproject Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. -------------------- WEBSITE -------------------- bongoproject.org -------------------- SOCIAL MEDIA -------------------- Instagram:   / bongo_project   Facebook:   / bongo-projec.  . -------------------- CONTACT -------------------- Email: info@bongoproject.org