Перейти к содержимому

KUZALIWA KWA YESU | Mafundisho ya Nguvu – PST Moses EAGT Mbande Kisewe

EAGT. MBANDE, KISEWE.

0:00 / 0:00

KUZALIWA KWA YESU | Mafundisho ya Nguvu – PST Moses EAGT Mbande Kisewe

78 просмотров · 9 мес. назад
EAGT. MBANDE, KISEWE.
740 подписчиков
78 просмотров · 9 мес. назад
Kuzaliwa kwa Yesu Kristo ni msingi wa wokovu wa mwanadamu. Katika fundisho hili lenye ufunuo na maarifa ya kina, PST MOSES Yesu alizaliwa katika ufundi, lakini alibeba mpango mkuu wa Mungu wa kumkomboa mwanadamu kutoka dhambini. Fundisho hili linatusaidia kuelewa kwamba Krismasi si sherehe tu, bali ni umbusho wa upendo wa Mungu uliodhihirishwa kwa vitendo. 📖 “Kwa maana leo amezaliwa Mwokozi, naye ni Kristo Bwana.” ( Luka 2:11 ) Karibu usikilize, ujifunze, na upokee nuru ya Neno la Mungu kupitia fundisho hili la Kuzaliwa kwa Yesu Kristo . 👉 Like • Comment • Share • Subscribe Injili iwafikie wengi zaidi. #KuzaliwaKwaYesu #PSTMosesEAGT #MbandeKisewe #MafundishoYaBiblia #YesuKristo #HabariNjema #GospelTanzania