Перейти к содержимому

Mungu wa ajabu - kennyb

Kenny B musiq

0:00 / 0:00

Mungu wa ajabu - kennyb

401 просмотр · 2 дня назад
Kenny B musiq
836 подписчиков
401 просмотр · 2 дня назад
[Verse 1] (Mungu wa ajabu) Mungu wa ajabu Mungu wa ajabu Tena wanichagua Bwana na hatua zako Milele wewe utabaki Unajua hata na hali Siku za giza na zote [Chorus] Nasema ni yeye Nasema ni yeye Nasema ni yeye, yeye tu Nasema ni yeye Fahari ya moyo Nasema ni yeye tu Nasema ni yeye Nasema ni yeye Nasema ni yeye, yeye tu Nasema ni yeye Fahari ya yangu Nasema ni yeye tu Ni Mungu wa ajabu Nasema ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu Sema ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu Nasema ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu Sema ni Mungu wa ajabu [Verse 2] Mungu wa ajabu Moyo wangu wako kabisa Kwa kuwa unajuanga Yale mi napitia Yawe Mungu wangu niwe Niwe chini baba niwe Wanishika Jehova Daddy Sitawahi kuacha kamwe Yawe Mungu wangu niwe Niwe chini baba yangu niwe Wanishika Jehova Daddy Sitawahi kuacha kamwe Kile ninachoona Vile nimeumbwa Jehova niyeye yetu Kile ninachoona Vile natembea Nasema ni yeye yetu [Chorus] Ni Mungu wa ajabu Nasema ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu Sema ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu Nasema ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu Sema ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu [Verse 3] Si vile wana bonga Na kuniangalia na kungoja Siri ni wewe Na maisha ni nakupa zangu hoja Kila hatua wewe uwe nami Baba sasa wewe unajali Yale napitia sio hali Wao wakienda wewe unabaki Kila hatua wewe uwe nami Baba sasa wewe unajali Yale napitia sio hali Wao wakienda wewe unabaki Kile ninachoona Vile nimeumbwa Jehova ni yeye yetu Kile ninachoona Vile natembea Jehova ni yeye yetu [Chorus] Ni Mungu wa ajabu Nasema ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu Sema ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu Nasema ni Mungu wa ajabu Ni Mungu wa ajabu Sema ni Mungu wa ajabu