VIWANJANI | Simba yazidi kujiimarisha kileleni baada ya kuzichukua alama tatu mbele ya Fountain Gate
Azam TV
0:00 / 0:00
VIWANJANI | Simba yazidi kujiimarisha kileleni baada ya kuzichukua alama tatu mbele ya Fountain Gate
5 277 просмотров · 8 ч назад
Azam TV
3,34 млн подписчиков
5 277 просмотров · 8 ч назад
Mchambuzi wa soka, @ramadhanimbwaduke2806 anaeleza kuwa Simba ya sasa ina rekodi bora ya matokeo tangu mwaka 2010, akitolea mfano ushindi wa timu hiyo pamoja na takwimu za umiliki wa mpira.
Mbwaduke ametoa maoni hayo akichambua takwimu za mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Fountain Gate uliopigwa jana Oktoba 29 2026 ambapo Simba SC iliibuka na ushindi wa goli 1-0.
Jabir Aziz amesema Barker amekuja katika kipindi ambacho alikuwa akihitajika zaidi na ameanza kutoa kile kilichotarajiwa na Wanasimba.
Kwa upande wa Juma Abdul amesema iwapo Simba itakuwa na mwendelezo mzuri wa kiwango ina nafasi ya kutwaa ubingwa.
Ni kupitia kipindi cha #Viwanjani kinachoongozwa na @ibrakasuga