NIMEAMUA KUFUATA YESU
Independent Voice
0:00 / 0:00
NIMEAMUA KUFUATA YESU
239 просмотров · 6 дней назад
Independent Voice
73 подписчика
239 просмотров · 6 дней назад
1.Nishike mkono, Bwana wangu,
Nisirudi nyuma tena,
Katika dhambi na yaliyopita,
Nataka mbele na Wewe.
Nimeamua kukufuata,
Hata njia ikiwa ngumu,
Neema yako initie nguvu,
Nisishindwe na majaribu.
2.Nishike mkono, Yesu wangu,
Niongoze katika njia yako,
Nisirudi nyuma tena,
Katika dhambi na yaliyopita.
Maisha ya kale nimeyaacha,
Mbele yangu ni wewe Yesu,
Mpaka mwisho nitakufuata,
Kwa maana wokovu wangu ni Wewe.